Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MohamedShein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofikakatika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata taarifasahihi ya ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Sky Get ikitokea Dar esSalaam kuelekea Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]Loading...
UONGOZI WA JUU SMZ WAKUTANA KUZUNGUMZIA TUKIO LA AJALI YA MELI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MohamedShein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofikakatika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata taarifasahihi ya ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Sky Get ikitokea Dar esSalaam kuelekea Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment