Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Taswira Soko La Rundugai Jumatatu

Bodaboda nao wakiwa wanasubiria abiria wanaohitaji usafiri mara tu wamalizapo shughuli zao hapo Sokoni wazee wa boda boda hao mzigoni.
Wageni hao toka Nchini Denmark wakiwa ni miongoni mwa wanunuzi ambao hutembelea Soko hilo linalokuwepo hapo kila siku ya Jumatatu.Wakishangaa bidhaa mbalimbali zinazoletwa na wajsiria mali toka maneo mbali mbali Wilaya ya Hai.
Bidhaa za Kimasai huwavutia sana wageni toka nje ya nchi wakionekana kupewa maelezo ya kina na vijana wa Kimasai waliokuwa wanauza bidhaa hapo Sokoni.
Biashara zikiendelea hapo Sokoni kama uonavyo kwa mbali Gari zikiingia na nyingine zikiwa tayari kuondoka na mizigo pamoja na abiria,wazee wa boda boda nao wakiwa makini kabisa pembeni hapo.

Sio kufuga tu Siku hizi hata biashara wanafanya hapo kina mama wa Kimasai wakiwa Sokoni na bidhaa zao huku wakisubiria wateja.
Ni Picha mbalimbali toka katika Soko la Kata ya Masama Rundugai toka kwa Mdau wa Blog Naimann Kavumo
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top