Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Taswira:Bomang'ombe Stendi ya Mabasi yaendayo mikoani na Wazee wa Boda boda.

Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na maeneo mengine Wilayani humo kama inavyoonekana.Mabasi yote yaendayo Arusha,Dar es Salaam ni lazima yaingie hapo dhumuni kubwa ni kulipa ushuru unaotozwa katika stendi hiyo ya Mabasi iliyopo katika mji wa Bomang'ombe,wilaya ya Hai,Mkoa wa Kilimanjaro.
Hao ndio wazee wa boda boda na Bajaji ambao wametapakaa kila sehemu wakipiga mzigo bila wasi.Pichani wamejipanga vizuri kabisa wakisubiria abiria pembezoni mwa Stendi ya Mabasi Bomang'ombe ambapo wanakuwa wameshuka kutoka sehemu mbalimbali kama Sanya Juu,Kia,Arusha,Kwa sadala,Machame au Moshi mjini. Vijana hao licha ya kazi hiyo ya kusafirisha abiria maeneo mbalimbali mjini hapo hucheza mechi mbali mbali za ujirani mwema na wenzao toka maeneo ya Chokaa,Ngulu,Kia pamoja na wale toka maeneo ya Upareni.

Picha na Habari na Mdau wa Rundugai Blog.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top