Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:HAPA NA PALE TABATA,BUGURUNI,TANDIKA NA MBAGALA

Tabata wanapaita dampo vipanya vibishi mjini ...Wakale wapi !!
Muda wenyewe huo foleni Buguruni Shell hapo foleni ikiwa imesimama mahala pake gari za mizigo
Ukizidiwa unaomba msaada tu unasaidiwa bila shaka hapa jamaa muuza dafu akipewa msaada ili aweze kupanda kilima hicho
Biashara ya matofali ikiwa imeshamiri vilivyo kutokana na kukua kwa sekta ya ujenzi Jiji Dar es Salaam ni maeneo ya Mbagala watu wakiwa mzigoni.
Kutokana na ufinyu wa Viwanja vya kuchezea wanafunzi wetu wamekuwa wanapata shida pale wanapokuwa kwenye mapumziko kama wanafunzi hawa waliokutwa na kamera yetu Mbagala Charambe wakicheza chiini ya kivuli cha mti wa muembe
Shulee juu ya kilima....Mbagala Charambe hiyooo !!
Anasafisha miguu yake iwe swafi...Usalama wa maji hayo ??
Kama kawaida Konda na sarawili huwa hawapatani alikuta Tandika Sokoni kwenye kituo cha daladala ziendazo Tabata Kimanga/Segerea akiwa kashikilia Sarawili yake kwa mbaali isivuke.

........................................
(Picha na Yoel Mshana)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

2 comments

Mkuu hongera sana,naamini wadau wa Rundugai wanazidi kutuhabarisha.

Amani.

Reply

Karibu sana mkuu
Tunasubiri za kwako mkuu na article zilizoenda shule karibu Jukwaani

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top