Kijana akionyesha uwezo wa meno yake namna anavyoweza kumnyanyua mtu kwa meno ambapo aliweza kuung'ata mkanda wa kijana huyo na kumnyanyua juu bila wasiwasi wowote kama inavyonekana kwenye picha.Ni wakati Kaimu Waziri Mkuu wa Kenya Ndg.Uhuru Kenyata wa Chama cha The National Alliance (TNA) alipokuwa akiwahutubia wanachama wa Chama hicho huko Uwanja wa Moi katika mji wa Embu nchini Kenya (PICHA NA: JOHN MUCHUCHA)
Credit to:http://www.standardmedia.co.ke
Post a Comment