Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Makamu Mkuu wa Chuo Prof.Tolly Mbwette akitoa maelezo ya utangulizi katika uzinduzi wa maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania leo wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituocha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,Kinondoni.

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania,Mhe.Dr.John Malecela akitoa hotuba katika uzinduzi wa maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania leo wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituocha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,Kinondoni.
Mkuu wa Chuo,Mhe.Dr.John Malecela(katikati) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Baraza,Prof.Samuel Wangwe(kushoto) pamoja na Makamu MKuu wa Chuo,Prof.Tolly Mbwette(kulia) baada ya kumaliza shughuli ya uzinduzi wa wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.


Mkuu wa Chuo,Mhe.Dr.John Malecela akielekea kupanda gari yake baada ya shughuli ya uzinduzi wa maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania leo na waandishi wa habari katika kituo cha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,Kinondoni.

Picha na Luihamu Ringo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top