Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:WADAU NDANI YA UZINDUZI WA MIAKA 20 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Anna Mdeba(kushot0),Esther Halla(katikati) na Kassimu Ally a.k.a maalim wakielekea kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania iliyofanyika katika kituo cha Kinondoni.
Kassimu Ally Said akiwa amepozi wakati anaelekea kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Ndg.Ombeni Kayuni nae akijongea karibu na ukumbi wa mkutano
Taratibu Monica Mtema na Jacqueline George wakiteta huku wakielekea Ukumbi wa Mkutano wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Pozii maridadi kabisa toka kwa Mdau wa Blog Jacque
Eliud Rwegaimukamu akiteta na dada zake kabla ya kuanza kwa mkutano wa Uzinduzi wa Maadhimisho wa Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania


Mdau wa Blog Sarah akiwa ndani ya uzi maalumu kwa Maadhimisho ya miaka 20 akipozi kwa picha wakati akiwakaribisha wageni mbalimbali waliokuwa wanaingia katika Mkutano wa waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa Madhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Mkuu wa Chuo,Mhe.Dr.John Malecela na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo,Prof.Samuel Wangwe walijumuika na Makamu MKuu wa Chuo Prof.Tolly Mbwette katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania katika Mkutano na waandishi wa Habari ambapo Mkuu wa Chuo,Mhe.Dr.John Malecela alizindua Wimbo,Nembo na kauli mbiu ya Maadhimisho hayo yaliyoanza Leo.

Picha na Luihamu Ringo
Faculty of Science,Technology and Environmental Studies.
The Open University of Tanzania.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top