Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

VIDOKEZO VYA TAARIFA YA HABARI ITV LEO

ITV

1.Watu 2 wamefariki baada ya pikipiki waliyopanda kugongana uso kwa uso na gari kubwa (fuso) maeneo ya Wami Dakawa wilayani Mvomero.

2.Raisi wa Liberia Mhe. Ellen Johnson Sirleaf kuwasili nchini leo kwa ziara rasmi ya siku 3.

3.Serikali imeondoa kodi ya ongezeko la thamani kwenye zana za uvuvi,injini za kupachika,vifunganishio na nyuzi za kutengenezea nyavu
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top