
Torres akiwaonyesha watoto wake mahala goli linapofungwa hapo ni baada ya kutawazwa mabingwa wa Ulaya(EURO 2012)

Mchezaji Juanfran akiungana na Torres pamoja na watoto wao wakifurahia baada ya mechi ya Fainali jana mjini Kiev ambapo wachezaji waliungana na familia zao uwanjani kufurahia ubingwa huo.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Michezo
on Monday, July 2, 2012
Post a Comment