Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Wanafunzi waandamana baada ya walimu kugoma.


Zaidi ya wananafunzi mia saba wa shule za msingi nne katika manispaa ya Singida wameandamana hadi ofisi za mkuu wa mkoa wa Singida kudai haki yao ya kufundishwa kufuatia mgomo wa walimu ulioanza rasmi.


Waalimu wametekeleza mgomo waliokuwa wamepanga ambapo katika baadhi ya shule jijini Dar Es Salaam wanafunzi wameonekana wakicheza kutwa nzima bila masomo huku wengine wakiandamana bila ya kuwa na ulinzi wowote.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top