Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WEMA SEPETU NA JAQUILINE WALPER WAKUNG'UTANA ULINGONI


Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa

Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao uliojaa mbwembwe ndani ya uwanja wa Taifa.
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo kutokana na pointi zao kufungana.
WEMA NA WOLPER wakishoo love baada ya mpambano huo uliojaa kila aina ya mbwembwe katika uwanja wa Taifa

Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio kwa upendo mkubwa
Picha na Super d boxing coach
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top