Michael Platin ,Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu barani Ulaya(UEFA) amesema Michuano hiyo mwaka 2020 itafanyika katika miji mbalimbali barani humo badala na mtindo wa sasa wa kuwa na mweneyeji mmoja tu.
Kawaida mashindano haya huandaliwa na nchi na moja au kwa kushirikiana kama ilivyo kwamwaka huu kwa Poland na Ukraine walivyoshirikiana kuandaa Fainali za EURO 2012.
Mwaka 2016 mashindano hayo yataandaliwa na Ufaransa.
Post a Comment