Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

DALADALA Time:Ndani ya DCM angalau hili limerembwa .

Ndani ya daladala dereva akiwajibika vilivyo ndani ya sare yake japo uvaaji wao ni wakutilia mashaka nguo juu ya nguo bora liende.

Akiweka mambo sawa hapo kwa kuweka gia mahala pake hapo inapelekwa mbele wale wajuao ni gia namba ngapi wanaweza kutujuza


Picha zikionyesha namna DCM hiyo ambayo angalau inaweza kuwa imepambwa kwa kitmbaa hicho japo ukikifunua hapo unaweza kimbia yaani ni yaleyale
Hapo anarudisha mkoba hapo gia..!!!!!


Akichungulia kama kuna 'mwanga'(daladala inayokuja) anakuja kama wasemavyo katika lugha zao wanapowasiliana kati ya konda na dereva kabla ya kung'oa nanga hapo.
Hapo akianza mwendo baada ya kumuona 'mwanga' akija.Daladala nyingi zinakuwa na mazingira mabovu sana ndani yake kutokana na mengi kuchakaa na hilo linatokana na kutojali kwa waendeshaji hao wa vyombo hivyo kwani wao wanachojali ni 'hesabu'(pesa ya mwenye daladala).Huenda kuanza kwa usafiri wa Reli hapa jijini Dar es salaam (Kama Alivyoahidi Waziri wa Uchukuzi katika bajeti yake Jana 1.8.2012 bungeni)na Mabasi ya mwendo kasi yakabadilisha hali hiii.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top