Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

DK.KIGWANGALA ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI UENYEKITI WA WAZAZI TAIFA



Naye Mbunge wa Jimbo la Nzega Mkoani Tabora Dr Hamisi Kigwangala aliyechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa wazazi Taifa majira ya saa 5:20 asubuhi ameamua kuchukuwa fomu yake Mkoani mwanza akiwa safarini kuelekea jimboni kwake huku wanachama wengine wakitajwa kuchukua wakati wowote kutokana na kuonyesha nia ya kuwania nafsai hizo za juu za uongozi wa mkoa na taifa.

Kigwangala akitoa sababu za kugombea nafasi ya Uenyekiti wa wazazi Taifa (Bofya play kumsikiliza)



Kwanini umeamua kuchukulia fomu Mwanza ile hali wewe ni mwakilishi wa mkoa wa Tabora kama mbunge? (CUE IN KIGWANGALA D)

Hudhani kwamba bado wewe U-kijana kuomba uongozi kwenye jumuiya ya wazazi yenye taswira ya kukusanya watu waliokula chumvi nyingi? (CUE IN KIGWANGALA E)

Source:G Sengo
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top