Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KILIMO KWANZA:RAIS KIKWETE AFURAHIA MAVUNO YA MAHINDI SHAMBANI KWAKE



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma, wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ambaye ni mkulima na mfugaji katika kijijini hicho, ameelezea  kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi aliyopata shambani kwake. 
PICHA NA IKULU

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top