Mdau akiwa makini Kazini hapo akiongeza magari na mashine ili zipite kwa usalama eneo hilo ambapo Barabara hiyo inajengwa.
Slow Down 50KPH man at Work....
Ni maeneo ya Kinondoni njia ya kwenda Bloku 41 maeneo ya pembezoni mwa iliyokuwa Biafra High Sec na sasa ni Kituo cha Kinondoni,Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Post a Comment