Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JUMLA YA TSH MILIONI 323 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE WA M4C YA CHADEMA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati  Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari huku pembeni yake akiwepo aliekuwa Mbunge  wa Jimbo la Arusha Godbless Lema.
 Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria hafra hiyo.
Baadhi ya waalikwa wakisikiliza kwa makini wakati mgeni rasmi akihutubia.
 
Picha kwa hisani ya www.kajunason.blogspot.com
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top