Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Tolly Mbwette(Kushoto) akiteta jambo na Mkufunzi wa kitivo cha Sayansi,teknolojia na mazingira .
Wadau wa Kitivo Luihamu Ringo akiwa na Jacqueline(Kulia) wakiwa kwenye maonyesho hayo huku wakiwa wamepiga pamba rasmi ya Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Patricia Boshe toka kitivo cha Sheria akipozi kwa mbele ya bango linaloonyesha Miaka 20 ya Chuo
Mdau Luihamu Ringo akishoo love kwa kamera ya Rundugai Blog kuonyesha amani tele hapo.
'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
Maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliendelea leo katika ukumbi wa mikutano katika Kituo cha Kinondoni kwa Kitivo cha Sayansi,teknolojia na mazingira walikuwa wakionyesha kozi mbalimbali wanazozitoa katika kitivo hicho na pamoja na tafiti mbalimbali walizofanya na wanazoendelea kutafiti.Unakaribishwa sana kujionea Maonyesho hayo yanayoendelea Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania.
Na Luihamu Ringo
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Na Luihamu Ringo
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Post a Comment