Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mahakama imeamuru Chama cha walimu Tanzania kusitisha mgomo.

Mahakama kuu kitengo cha kazi imeutaka uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania kutoa taarifa ya kusitisha mgomo kwa wanachama wake mara moja, kulipa hasara iliyopatikana kutokana na mgomo pamoja na kuwafidia wanafunzi muda walioupoteza kwa kukosa masomo.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top