
Vijana hawa wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 8-15 wakiwa wamelala nje ya duka moja mitaa ya Buguruni lililopo kwenye uzio wa Shule ya Msingi Buguruni wakiwa wamelala siku zote ukipita hapo utakuta vijana ambao wamepageuza hapo kuwa ni eneo lao kwani huwakosi hapo wakiwa kama watano hivi wanajifunika mifuko iwe joto au baridi vyote vinawaishia.Ziko NGo nyingi nchini na watoto kama hawa nao wanazidi kuongezeka Tatizo liko wapi hapo ? Tafakari !!
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Friday, August 3, 2012
Post a Comment