
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad (kulia) na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, kila mmoja akiwa na shauku ya kutaka kumweleza mwenzake chochote, walipokutana katika hoteli ya Bwawani kwa ajili ya Baraza la Eid-El-Fitri. Viongozi hawa ndio walioasisi maridhiano ya kisiasa Zanzibar na kupatikana Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Post a Comment