Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MATANGAZO YA WAGANGA WA KIENYEJI HATIMAYE YAHOJIWA BUNGENI

 Mabango ya matangazo ya waganga yaliyotapakaa kila kona ya Jiji la Dar es Salaam wakitangaza kazi zao katika jamii hatimaye yameaanza kuhojiwa huko Bungeni pale MBUNGE wa Viti Maalumu, Bety Machangu (CCM)alipouliza swali Bungeni “Je, serikali inaruhusu matangazo hayo? Na ni kweli kwamba waganga hao wanatibu magonjwa hayo ama wanawadanganya wananchi tu?” alihoji mbunge huyo.
Hili ni mojawapo ya mabango hayo yanayohojiwa  huyu yeye akiorodhesha vile anavyotibu  huku UKIMWI akionekana kuutilia msisitizo wakati  wanasayansi wa Taasisi ya Magonjwa ya Kuambukiza na Mzio (Niaida) ya Marekani, akisema kuwa tiba hiyo inaweza kutibu ugonjwa huo hatari kwa asilimia 90  mwezi mei walitangaza kupata tiba hiyo hatujui Dr.Ngulumo aligundua lini tiba hiyo ? Ukweli ni kwamba Dawa ya UKIMWI-Huu ndi ukweli soma upate maarifa zaidi la sivyo utapotea.
Tatizo la nguvu za kiume limekuwa mtego kwa hawa waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia tatizo hili kujitajirisha hii ni kutokana na wengi wenye tatizo hili kuwakimbila waganga hawa.Wanaume wengi hulalamika katika sehemu kuu tatu nayo ni KUKOSA MSISIMKO,KUSHINDWA KURUDIA TENDO NA KUKOSA KABISA NGUVU.Na wengi ni sababu za kibaiolojia na kisaikolojia ndizo zinazowasumbua.

Ukisoma makala mbalimbali zinaelezea tatizo hili namna ya kuliondoa kabisa tatizo la Nguvu za Kiume kama si kulipunguza kuliko kukimbilia Mabango ya waganga yaliyojazana kila mahala.

Hata kufaulu kweli kwahitaji mganga ? Huko Nchini Kenya serikali yao wanasema unampeleka mtoto shule au jela  mwaka mmoja

Unaweza pitia tovuti hizi kujielimisha zaidi na tatizo hili la NGUVI ZA KIUME
-Red kiss
- Siha na Maumbile(video)
- Jamii Forums ( mijadala kuhusiana na tatizo hili)

 Hayo ndio mabangozz..!! yaliyoja kila kona ya Jiji la Dar es Salaam.


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top