Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MOTO WA MWAKYEMBE SASA WAIWAKIA BANDARI MKURUGENZI MKUU, WENGINE WATANO WAONJA MAKALI YAKE AWEKA WAZI UFISADI, RUSHWA, WIZI WA MAFUTA

Serikali imewasimamisha kazi mkurugenzi mkuu mamlaka ya bandari Bw. Ephraim Mgawe,naibu mkurugenzi Bw. Julius Mfuko pamoja na meneja wa bandari ya Dar es salaam -Casian Ngamillo -kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na ukiukwaji wa sheria.Katika taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya Habari inaonyesha hatua hiyo ni kujaribu kuinusuru Bandari hiyo iliyokidhiri kwa uwizi wa Makontena.

Pia kuna kuhujumiwa kwa Bandari kunakosemekana kufanywa na wafanyakazi wa Bandari hiyo kwa kushirikiana na baadhi ya Wafanyabiashara.
Hali hiyo imefanya baadhi ya Wafanyabiashara kuhamia nchi za nje ili kukimbia hali hiyo inayosemekana kukidhiri bandarini hapo.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top