Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

OPERESHENI SANGARA ILIPOKUTANA NA KIKWAZO KIJIJINI NAMGEZI


 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambacho kipo Mkoani Morogoro kilikumbana na vikwazo kadhaa mojawapo kikiwa ni hiki cha watu wasiofahamika kuchimba katikati ya barabara ili msafara wa viongozi wa CHADEMA usiingie kijiji cha namgezi kata ya keya ulanga mashariki.

CHADEMA wako Mkoani Morogoro katika mfululizo wa mikutano yao ya Vuguvugu la mabadiliko(M4C) na wenyeji wao wamekuwa na muitikio chanya. 



author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top