Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa arudisha fomu za UVCCM-NEC


Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala Jerry Silaa akimkabithi fomu anazorejesha za kugombea nafasi ya ujumbe wa UVCCM-NEC katibu wa UVCCM mkoani Mwanza Bw Elias Mpanda, jana katika ofisi za CCM mkoani- Jijini Mwanza. Mstahiki meya Manispaa ya Ilala Bw Jerry Silaa anagombea nafasi ya ujumbe wa UVCCM-NEC ngazi ya taifa.Mstahiki meya aliweka wazi nia yake ya kutaka kuwawakilisha vema vijana wa kitanzania kwenye UVCCM-NEC na aliwaasa vijana wengine kushiriki kwenye mchakato huo na huku akisisitza kwamba yuko tayari kufanya kazi kokote nchini kwa maslahi ya wananchi, vilevile meya aliwaasa viongozi wote kuwajibika na kutimiza ahadi zao walizozitoa kwa wananchi na kwa kuweka mbele maslai ya taifa na sio yao binafsi.

Via FullyShangwe
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top