Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

RAISI DR. JAKAYA KIKWETE AZINDUA AWAMU YA TATU YA TASAF JIJINI DODOMA LEO.

Dr. Jakaya Kikwete akikagua mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu 
ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini 
 zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akikagua na kupewa maelezo ya kina kuhusu bidhaa yanayofadhiliwa na TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye
 kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” 
Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya bidhaa kutoka Unguja katika mabanda 
ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango 
wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akipewa maelzo ya zulia katika mabanda ya TASAF,katika 
uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru
 kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akikagua mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya 
tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo 
katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akikagua mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya 
tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo 
katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa mwakilishi wa TASAF katika 
mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli 
mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” 
Jijini Dodoma leo.

Dr. Jakaya Kikwete akisikiliza kwa kina maelezo kutoka kwa mwakilishi wa 
TASAF katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF 
yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira 
hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akimpongeza mmoja wa wanachama mkongwe wa TASAF 
akilipwa mafao yake katikamabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya 
tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo 
katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akisikiliza maelezo kutoka kwa mwakilishi wa TASAF ,nyuma ni spika wa bunge Mama Anne Makinda,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akielekea jukwaa kuu,akiongozana na spika wa bunge Mama Anne Makinda, katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo. Picha na www.wazalendo25.blogspot.com
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top