Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

SENSA KWA MAENDELEO JIANDAE KUHESABIWA

Sensa kwa Maendeleo Jiandae kuhesabiwa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi  litakaloanza usiku wa leo jumamosi ya Agost 25 kuamkia Agost 26 mwaka huu na kuendelea kwa wiki nzima.

Pamoja na malumbano yanayoendelea kwa baadhi ya makundi kuhimiza watu kususia zoezi hilo .Katika kuhimizana ili tuweze kushiriki zoezi hili namnukuu Ndg.Rama Msangi anasema:

''Kaa mkao wa kuhesabiwa,usisikilize porojo zitakazokufanya upoteze fursa ya kujulikana kuwa upo na una nguvu kiasi gani''
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top