Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KISIWA CHA MAFIA CHENYE UTAJIRI WA VIVUTIO VYA UTALII

 
Ni  ndani ya Kisiwa cha Mafia ni kikubwa knapatikana mwambao wa Afrika Mashariki 130 km kusini ya Dar es Salaam karibuna mdomo wa Mto Rufiji. Umbali wake ni 16 km.Mafia kisiwa kikuu ina urefu wa 20 km na upana wa 8km; eneo lake ni takriban 400 km². Inajulikana pia kwa jina "Chole shamba" kutokana na mji wa kale wa Chole iliyokuwepo kwenye kisiwa kidogo cha Chole mjini karibu na kisiwa kikuu.
 
Kisiwa cha Mafia  Makampuni kadhaaa yanayojihusisha na utangazi wa biashara ya utalii wa Kisiwa cha Mafia wamevutiwa na na muitikio wa watalii kuja kisiwani humo.Mahoteli kadhaa yamejengwa ili kukidhi mahitaji yao wale watembeleawo humo.Japo mahitaji yao yote hutoka nje ya kisiwa hicho. 

Tembelea kisiwa cha Mafia.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top