Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Taswira:Huko mtaani Tunavyotafuta Mkate wa kila siku

Mapishi yakiendelea hapo ni Biafra Pembezoni mwa geti la Kituo cha Kinondoni,Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(Picha na Luihamu Ringo)
Mama Ntilie kama wajulikanavyo wakiendelea na Mapishi pembezoni wateja wakisubiria kwa hamu sosi hilo japo mazingira si rafiki sana kwa maandalizi ya chakula kutokana na kuwa maeneo yaliyo na shughuli nyingi za magari huku vumbi likiwa jingi na uchafu pia.

Vijana wakiwa kazini wanasema haina kuremba hapo

Sanamu za wanyama wakiwa pembezoni mwa Barabara maeneo ya banana wakiwa wanasubiria kuuzwa vijana wengi wamebuni biashara hiyo ili kujiongezea kipato
Huku biashara ya viatu ikiendelea jamaa kona kulia hapo nae akivuna alichopanda..Maisha yanaendelea ni pembezoni mwa barabara ya kuelekea Gombo la Mboto a.k.a Gomzz
...............................
Na Yoel Mshana wa Rundugai Blog.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top