Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:Wanafunzi 20 waliofanya vizuri katika mtihani kidato cha sita mwaka 2012

Wanafunzi 20 waliofanya vizuri katika mitihani wa kidato cha sita kwa mwaka 2012 wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma. Wanafunzi hao 10 wasichana na 10 wavulana wamepewa cheti na Waziri Mkuu, kompyuta ya pakato (laptop) na fedha taslimu shilingi laki mbili kwa kila mmoja.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top