- .Serikali imepiga marufuku ukataji wa mikoko katika Delta ya mto Rufiji kwa nia ya kupata maeneo ya kuanzisha mashamba mapya.
- Wananchi wa kata ya Doma Morogoro wamegoma kushiriki mkutano wa kuhamasisha maoni ya katiba mpya na mfuko wa afya jamii.
- Serikali imesema itatoa vibali vya ununuzi wa pamba kwa atakayeweza kununua zao hilo kwa bei ya juu
Loading...
HABARI KWA UFUPI
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment