Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

LEMA NDANI YA MKOKO WAKE JANA ARUSHA

Anapokuwa Arusha hujichanganya kwenye vijiwe ambapo huko hupiga stori za hapa na pale na kupata Kikombe cha kahawa huku akiwa amezungukwa na wafuasi wake ambao hawachoki kumsikiliza hivyo kuendelea kung'aa miongoni mwa wapiga kura wake kutokana na ile hali yake kuweza kujumuika nao mahala popote n nadra sana kuona baadhi yao kujumuika na wapiga kura wao.

NA HUU NDIO MKOKO ALIOKUJA NAO JANA MAHAKAMANI LEMAA HUYO,,,,,,
 Jana ilikuwa ni siku ya kusikilizwa kwa Rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa ya kumvua Ubunge Bwana Lema ambapo alitokea na usafiri wa tofauti kabisa kiasi cha kuvuta hisia za watu 


 Akiwa amezingirwa na wapiga kura wake mara baada ya shauri alilofungua kuahirishwa hiyo jana 
........................................
Shauri lililofunguliwa na aliekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema kukata rufaa katika Mahakama ya Rufaaa nchini kupinga kuenguliwa kwake kuwa mbunge limeahirishwa hadi tarehe 2 mwezi ujao litakaposikilizwa tena.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top