Mh.Maalim Seif kushoto akiingia katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Kilimanjaro(KIA) mda mfupi baada ya kushuka na ndege ya serikali
jana, kulia ni Mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo
Mh.Maalim Seif akiwa anasalimiana na Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Bw.Liberatus Sabas
Maalim Seif akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Bara wa chama cha CUF,
Julius Mtatiro.
Picha na Pamella Mollel wa Jamii Blog, Arusha.
Picha na Pamella Mollel wa Jamii Blog, Arusha.
Post a Comment