Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba mojawapo ya jeneza la mwili wa askari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akimfariji mke wa moja wa askari waliofariki Bi, Fatuma Chunguile
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Chanzo:Mjengwa Blog
Post a Comment