Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

RAIS KIKWETE AZURU CHUO KIKUU CHA KENYATTA; AFUNGUA RASMI JENGO LA SHULE LA UKARIMU NA UTALII




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  akipokewa na Waziri wa Elimu ya Juu wa Kenya, Mheshimiwa Margaret Kamar alipowasili Chuo Kikuu cha Kenyatta kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo hicho.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo Kikuu cha Kenyatta. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu ya Juu, Mheshimiwa Margaret Kamar  na kuhsoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Olive Mugendi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi baada ya  kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo Kikuu cha Kenyatta.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi baada ya  kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo Kikuu cha Kenyatta
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top