Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI ALIPOENDA JANGWANI KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI WALIOKUWA WANAANDAMANA


 Alijaribu kuwatuliza wanahabari lakini haikutosha kwani walikataa katakata kumsikiliza baadae ikabidi aondoke eneo hilo la Jangwani ambapo alikuja kuongea na waandishi wa habari waliokuwa wanaandamana.




Waziri wa mambo ya Ndani, Dk. Nchimbi nae alivamia hapa na wanahabari wa jijini Dar es Salaam kumkataa na kuamua kuondolewa na vijana wake kwa kuhofia usalama wa ke dhidi ya Camera na Kalamu.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top