Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WADAU WA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA WALIOFANIKISHA SIKU YA KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII


 Wanasema shughuli ni watu na watu wenyewe ndio hawa kutoka kulia waliokaa ni Sophia Nchimbi,Mama Dachi na mdau ambae jina lake halikufahamika mara moja.Alisimama na tabasamu la kutosha ni Dada Patricia Boshe

 Wadau wa wakiwa makini kuhakikisha kila kitu kinakwenda kama kilivyopangiliwa ambapo kila mgeni aliekuja alipitia hapo na kukabidhiwa makabrasha ikiwa ni pamoja na kuweza kupata Fulani maalum kwa siku ya leo na kitenge ambavyo vyote vilisababishwa na meza hii,kutoka kulia waliokaa ni Amina Hassan,Amisa Ahamad na mdau ambae jina lake halikufahamika maramoja.Aliesimama nyuma akiangalia kwa umakin mkubwa ni Mr.Michael kutoka Idara ya Utalii,Kitivo cha Sayansi ya Jamii.

 Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kama uionavyo kupendeza hao ni baadhi ya wadau wakishoo love kwa kamera leo katika muendelezo wa sherehe katika Maadhimisho ya MIaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
(Majina kapuni kwa sasa)
 Hapo sasaa !!!! Chezea Huria weeweee !!! Kimbiza mbayaaa ..!!
Wakiwa na tabasamu tele wadau ambao waliwezesha shughuli nzima siku ya leo kwenda vizuri kutoka  kulia waliokaa ni Sophia Nchimbi,Mama Dachi na mdau ambae jina lake halikufahamika mara moja.Waliosimama ni Mama Kaaya na Patricia Boshe
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top