Mitaa mbalimbali iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam na ofisi kadhaa ikiwemo ya waziri wa mambo ya ndani ya nchi na ile ya mkuu wa jeshi la polisi zimelazimika kusitisha shughuli zake kwa zaidi ya saa tano baada ya maandamano makubwa yaliayoanzia misikiti mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam hadi kwa waziri wa mambo ya ndani yaliyofaywa na waumini wa dini ya kiislamu kwa lengo la kushinikiza kuachiwa kwa wenzao ambao wanashikiliwa na polisi kwa kukataa kushiriki katika zoezi la sensa.
Loading...
Post a Comment