Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ZUWENA NASSIB AUKWAA MISS EXCELLENCE OUT 2012 USIKU WA JANA

 Miss Excellence OUT 2012 Zuwena Nassib(aliekaa) akiwa na washindi wa Pili Naima Julius na Mshindi wa Tatu Thecla Aristides hiyo jana baada ya majaji kuwatangaza washindi hao katika Ukumbi wa Mwinyi,Kinondoni.
 Miss Excellence OUT 2012 Zuwena Nassib akiwa ameshika maua mara baada ya kuukwa umalikia huo katika mpambano ulijaa kila aina ya mashamshamu.
 Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu akimkabidhi maua mridhi wake Zuwena Nassib mara baada ya kutangazwa Miss Excellence OUT 2012.

Mgeni rasmi Mhe.William Lukuvi ambae ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera,Uratibu na Bunge) na Makamu Mkuu Wa Chuo,Prof.Mbwete wakimkabidhi Miss Excellence OUT 2012,Zuwena Nasib zawadi yake(cheki) mara baada ya kuvikwa umalikia jana usiku.
 Mgeni rasmi Mhe.William Lukuvi ambae ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera,Uratibu na Bunge) na Makamu Mkuu Wa Chuo,Prof.Mbwete na aliyekuwa Miss Excellence OUT 2011,Neema Mtitu wakiwa katika picha ya pamoja na Washiriki walioingia 5 bora na mwishowe kupatikana kwa Mshindi 
 Kazi ilianzia hapa mara tu pazia lilipofunguliwa warembo wakaja na kitu cha Bob Junior-Nichum walichokitendea haki warembo hao kiasi kwamba nikuzipenyeza chin ya kapeti na kumfikishia mtu mzima Bob Junior kama ana tatizo la madensa hapa atapata wa kutosha.
 Eeeeeeeeeeehh mwendo ulikuwa ndio huo baadhi ya walimbwende hao wakiwa ndani ya stejii wakikupa mauno ya kitu uzima bila wasiwasi huku wakinukia uturi babuu kubwa kutoka kwa muarabu wa dubai(hii nimepenyezea tu)







Miss Excellence OUT 2012 ilifanyika hapo jana usiku katika ukumbi wa Mwinyi uliopo katika Kituo cha Kinondoni, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.Ambapo Mrembo Zuwena Nassib aliweza kuukwaa Umalikia na kutawazwa kuwa Miss Excellence OUT 2012  na kumridhi mrembo aliyepita Neema Mtitu.

KWA PICHA ZAIDI INGIA HAPA
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

3 comments

wametokea mbaya

Reply

duuuh ilikuwa pendeza mbaya sana aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah Ahsanteeeee Rundugaii Blog

Reply

So nice wachuchu

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top