Ratiba na makundi ya CECAFA challenge mwaka huu imetangazwa timu zikipangwa kwenye makundi na Tanzania ikipangwa Kundi B na Zanzibar wakiwa kundi C michuano hiyo inaanza tarehe 24 Novemba.
Kundi A: Uganda, Kenya, Ethiopia, South Sudan
Kundi B: Tanzania, Sudan, Burundi na Somalia
Kundi C: Rwanda, Malawi, Zanzibar na Eritrea
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment