Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CUF NA MCHAKAMCHAKA KUELEKEA 2015 SASA NI MKOA WA KIGOMA

MCHAKAMCHAKA 2015 SASA NI MKOA WA KIGOMA.

Kwa wiki mbili mfululizo sasa wakurugenzi wa chama na maafisa mbalimbali wako mkoani Kigoma kwa ajili ya mikutano ya hadhara, vikao vya ndani, uhakiki wa wanachama, ufunguaji wa matawi mapya na kuimarisha mtandao wa uongozi wa CUF mkoani humo.

Kuanzia tarehe 17, 18, 19, 20 na 21 viongozi wote wa kitaifa watakuwepo mkoani Kigoma kwa ajili ya mikutano mikubwa ya hadhara na vikao vya ndani.

Huu ni mchakamchaka kuelekea 2015, tumejipanga vya kutosha kuendelea kuwaelimisha watanzania na hasa kuomba uungwaji mkono wap ili siku moja rasilimali za nchi hii ziwanufaishe watanzania wote.

Mungu ibariki Tanzania.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top