Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BASHE NA KIGWANGALA WAMALIZA UHASAMA WAO

 Amakweli ukisikia kukua kwa demokrasia nchini ni huku… wale vijana wawili maarufu na makada wa Chama cha Mapinduzi kutoka Wilkayani Nzega, Hussein Bashe na Dk Hamis Kigwangala ambao wakati wa chaguzi za ndani za Chama hicho walikuwa ni mahasimu wakubwa hivi sasa mambo yao ni super na wanapiga stori kama kawaida.

Kamera ya Father Kidevu Blog iliyopo ndani ya Ukumbi na viwanja vya Ukumbi wa Kizota mjini Dodoma unakofanyika mkutano Mkuu wa 8 wa chama hicho umewanasa makada hao wakipiga stori na kucheka kwa kwenda mbele.

Wakiwa hawana habari juu ya kuchukuliwa taswira zao na baada ya kugundua hilo walimueleza Mpiga picha Mroki Mroki kuwa wao wako poa kabisa na maneno ya watu tu kiuwa mimi (Bashe) siongei na Dk. Kingwangala.
 Bashe (kushoto) akizungumza jambo huku wakiwa katika furaha na Kanda mwenzake wa CCM Nzega na Mbunge wa Nzega, Dk Kingwangala nje ya ukumbi wa Kizota wakati Makundi mbalimbali ya Mikoa yakipiga picha na Mwenyekiti wa Chama hicho Rais Jakaya Kikwete.
 
 Picha na Father Kidevu.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top