Aliyesimama ni Bw. Deus Kibamba, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, akitoa hotuba ya kufunga mafunzo ya wanahabari.
Kushoto
ni Bw. Deus Kibamba, Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, akiwa na
Bibi Mpendwa Abinery, Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanaoishi na
Virusi vya Ukimwi (WOFATA) akifafanua jambo kabla ya kufunga rasmi
mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kutoka mikoa yote ya
Tanzania Bara na Visiwani kuhusu mchakato wa Katiba Mpya iliyofanyika
mjini Dodoma.
Picha na mjengwa Blog
Post a Comment