Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:VIJIJI VILIVYOPEMBEZONI MWA BARABARA YA TANGA-HOROHORO







 Kutokanana ukosefu wa maji vijana wamejiajiri kwa kuuza maji hayoni madumu yenye maji yakisubiria wateja.
 Kupumzika muhimu stori mbili tatu zikiendelea hapo
 Wanasema kipindi hiki ndio shughuli hizi za harusi zinashika kasi,spika kubwa zikiwa zimefungwa muziki mzito ukitoka huku ukisindikizwa na kina dada.
 Wanasema shughuli ni watu nawatu wenyewe ndio hao.



 Wazee wa boda boda nao hawachezi mbali wakiwa pembezoni    mwa barabara kusubiria wateja

Katika baadhi ya vijiji ushindani wa vyama unaonekana kwa kuona bendera hapo ni bendera ya CCM,CUF na ADC zikipepea.

Vijiji vilivyoko pembezoni mwa barabara ya Tanga-Horohoro ni Geza, Horohoro, Duga maforoni, Mikocheni, Tandikeni, Kwacherucho, Zingibari, Petukiza, Manzabei, Vuo, Kwasengoro, Gizani, Magaoni na Mtimbwani,Chumvini.Majina hayo waweza yapata Tanga tu.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top