Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

( VIDEO) MTAA WA TEGETA WAFUNGWA KWA ZAIDI YA SAA MOJA KUFUATIA VURUGU

Mtaa wa Tegeta manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam ulifungwa kwa takriban saa moja baada ya kijana mmoja muuza duka kudaiwa kupigwa risasi ya moto katika vurugu baina ya madereva na jeshi la polisi wakilituhumu kutumiwa vibaya na wakala wa barabara tanroad katika operesheni yao ya kuzuia kuegesha magari kandokando mwa barabara ya Bagamoyo eneo la Tegeta.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top