Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

AZAM FC WATUA NA KOMBE LA HISANI LA FECOFA

Nahodha wa Azam, Jabir Aziz Stima akishuka kwenye ndege na Kombe la Hisani la FECOFA, Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam usiku wa jana, baada ya kuwasili wakitokea Kishansa, DRC walikotwaa taji hilo, kufuatia ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Dragons Jumamosi kwenye Uwanja wa Martyrs mjini humo. Azam FC ilifika jana saa 6:15 usiku baada ya safari ndefu kuanzia saa 11:00 Alfajiri kutoka Kinshasa.

kocha aliyeipa timu ubingwa, Kali Ongala akitoka Uwanja wa Ndege.Picha kwa Hisani ya Bongo staz Blog. 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top