Hali ya usafiri ni tete kwa abiria wanaoelekea mikoa ya kaskazini katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo jijini Dar es salaam ambapo baadhi ya mabasi yamepandisha nauli kutoka elfu kumi na saba hadi kufikia shilingi elfu thelathini na tano.
Loading...
Post a Comment