
Wafungaji wa mabao ya Stars leo, Kiemba kulia na Bocco kushoto wakipongezana baada ya kutupia kwenye nyavu.
Picha na Bongo Staz Blog
Picha na Shaffih dauda Blog.
Watanzania waliopo uwanjani wanaimba "Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote". Uzalendo kwanza.Hii ni kuonyesha kuwa njia ya Nusu Fainali iko nyeupe kuelekea Fainali
Rwanda wanafunga bao linakataliwa
DK 86' Anaingia Shabani Nditi kuchukua nafasi ya John Bocco
Dak 85: Kilimanjaro Stars 2-0 Rwanda
Dk 82; TANZANIA 2 RWANDA 0
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars inayadhaminiwa na Bia
ya Kilimanjaro Premium Lager, Amri Kiemba na beki wa timu ya Rwanda,
Michel Rusheshangoga wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Robo Fainali
ya kwanza uliochezwa
katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda.
Picha na Shaffih Dauda Blog
Stars wanaonekana kupoteza umakini na kuwaruhusu Rwanda kushambulia langoni
Dk 70: Kilimanjaro Stars 2-0 Rwanda
DK 66' John Bocco anapiga shuti kali golikipa wa Ndoli wa Rwanda anaokoa
DK 64 KILI STARS 2-0 RWANDA
Kipindi cha pili sasa John Bocco anawapa raha watanzania Kili Stars 2 Rwanda 0
Dk 54: Goal Kilimanjaro Stars 2-0 Rwanda, John Bocco anasema nao Wanyarwanda kama kawaida nyota yake yazidi Kung'ara Bocco.
Salum Abubakar anatoka nafasi yake inachukuliwa na Athuman Idd Chuji ambae alikuwa anasubiriwa kwa hamu kubwa na mahsabiki nchini Uganda,
Dakika 45 za kipindi cha pili zimeanza Kilimanjaro Stars 1-0 Rwanda
Picha na Shaffih Dauda Blog
Dak 45: Dakika 2 za nyongeza kipindi cha kwanza bado mpira ni Kilimanjaro Star 1-0 Rwanda
Dak 38: Mrisho Ngassa nusura aseme na golikipa wa
Amavubi, mpira unapita sentimeta chache toka kwenye mtambaa wa panya na inakuwa ahueni kwa wanyarwanda hapa.
Dak 15: Kilimanjaro Stars 0-0 Rwanda
Mchezo wa robo fainali Kilimanjaro Stars vs Amavubi umeanza
Kilimanjaro Stars XI vs Rwanda: Kaseja, Nyoni, Maftah, Kapombe, Yondani, Kiemba, Abubakar, Domayo, Kazimoto, Ngassa, Bocco
Benchi la Tanzania: B.Munishi, I.Rashid, C.Edward, Y.Singano, A.Idd, S.Msuva, S.Nditi, M.Samatta, T.Ulimwengu.
Kikosi cha RWANDA: J.CNdori, E.Bayisenge, I.Nshutiyamagara, J.Mbaraga, C.Tibingana, M.Rusheshangora, J.B Mugiraneza, H.Niyonzima, J.C Iranzi, D.Birori, T.Ntamuhanga.
Benchi la Tanzania: B.Munishi, I.Rashid, C.Edward, Y.Singano, A.Idd, S.Msuva, S.Nditi, M.Samatta, T.Ulimwengu.
Kikosi cha RWANDA: J.CNdori, E.Bayisenge, I.Nshutiyamagara, J.Mbaraga, C.Tibingana, M.Rusheshangora, J.B Mugiraneza, H.Niyonzima, J.C Iranzi, D.Birori, T.Ntamuhanga.
Post a Comment