Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

LIVE MATCH CENTRE FULL TIME SWANSEA 1- 1 MANCHESTER UNITED

90:00 +4:18 Full Time SWANSEA 1- 1 MANCHESTER UNITED

90:00 +2:02 Ryan Giggs anapiga shuti lakini linatoka kushoto mwa goli


90:00 +0:54 Chico anapiga free kiki hiyo

90:00 +0:54 Booking Paul Scholes anapewa kadi ya njano

84:48 Paul Scholes anaiingia kuchukua nafasi ya  Tom Cleverley.

84:11 Ashley Young anapiga kwa mguu wa kulia kona lakini Miguel Michu anacheza mpira huo

82:22:Free kick inatengwa baada ya  Ryan Giggs kumchezea vibaya Dwight Tiendalli.Anaepiga ni Chico.

77:24 Giggs anaingia badala ya Wayne Rooney
Unhappy: Manchester United boss Sir Alex Ferguson shows his dissatisfaction at fourth official Lee Probert
76:31 Van Persie nae ana zawadiwa kadi ya njano

75:12 Ashley Williams anapata kadi ya njano kwa mchezo mbaya

73:48 Tom Cleverley anaingiza majaloo nzuri lakini Chico anaondoa hatari ile

71:03 Javier Hernandez anapiga shuti lakini linachezwa na golikipa Michel Vorm

Evasive action: Patrcie Evra (centre) is challenged by two Swansea defenders
69:43  Luke Moore anachukua nafasi ya  Jonathan de Guzman.

68:2 Wayne Rooney anapewa kadi ya njano.

66:48 Robin van Persie anapiga mpira maridadi golini lakini golikipa  Miguel Michu anacheza mpira huo.

61:12 Sung-Yeung Ki anaingia badala ya  Leon Britto

60:54 Substitution ananingia Javier Hernandez badala ya  Antonio Valencia

58:55Michael Vorm anacheza mpira uliopigwa na Wayne Rooney ukiwa ni mpira wa adhabu ndogo
.
58:55 Chico anapewa kadi ya njano baada ya kucheza madhambi

56:02 Dwight Tiendalli anaingiza mpira maridadi na Jonny Evans.

Rise up: Manchester United's Nemanja Vidic (right) leaps with Swansea's Michu
Kipindi cha Pili kimeanza kukiwa hakuna mabadiliko kwa timu zote mbili

HT: Swansea 1 - 1 Man Utd 

 

Not going to plan: Wayne Rooney , Robin van Persie and Michael Carrick look on after Swansea level the scores

 Super Spaniard: Michu (9) taps home Swansea's equaliser following Jonathan De Guzman's effort
28:45 Goal limefungwa la kusawazisha
 Flat out: Michu makes it 1-1 as goalkeeper David de Gea lies on the ground
Goal - Miguel Michu - Swansea 1 - 1 Man Utd Miguel Michu anaisawazishia timu yake goli maridadi  Swansea 1-1 Man Utd. 
 Head boy: Patrice Evra nodded home Robin van Persie's corner to give Manchester United the lead
 Patrice Evra akishangilia baada ya kufunga goli

 Head boy: Patrice Evra nodded home Robin van Persie's corner to give Manchester United the lead

Goal - Patrice Evra - Swansea 0 - 1 Man Utd Patrice Evra anaifungia timu yake goli kwa mpira wa kichwa hivyo  Swansea 0-1 Man Utd.
 Off target: Williams again gets in the way, this time to stop Van Persie
1:30 Robin van Persie anapiga kona maridadi lakini  Kemy Agustien anaucheza maridadi mpira huo.

1:1:Wayne Rooney anapiga mpira golini mwa Swansea lakini  Ashley Williams

0:54:Nathan Dyer anaingiza krosi maridadi lakini Jony Evans.
Protecting the ball: Nathan Dyer fends off the challenge of Evra
0:13 Nathan Dyer anachezewa madhambi na Patrice Evra na inakuwa free Licky na inapigwa na Kemy Agustien
  0:00 Mechi inaanza

Swansea City 

01 Vorm ,04 Chico,06 Williams,21 Tiendalli,33 Davies,07 Britton,09 Michu,12 Dyer,15 Routledge,20 De Guzman,26 Agustien

Substitutes 

25 Tremmel,16 Monk,24 Ki Sung-Yeung,29 Richards,10 Graham,17 Shechter,19 Moore

Manchester United 

01 De Gea,03 Evra,04 Jones ,06 Evans,15 Vidic,07 Valencia,16 Carrick,18 Young,23 Cleverley,10 Rooney,20 Van Persie

Substitutes

  • 13 Lindegaard,28 Buttner,11 Giggs,22 Scholes,24 Fletcher,14 Hernandez,19 Welbeck
Ref: Oliver
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top