 |
| Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.)
(katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jose Antonio Fraga
Castro (kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya LABIOFAM ya Cuba na Mhe.
Jorge Luis Lopez Tormo (kulia), Balozi wa Cuba hapa nchini mara baada
ya kuzungumza nao kuhusu kampuni hiyo. Kampuni ya Labiofam inajenga kiwanda cha
kutengeneza madawa ya kuulia vimelea vya malaria huko Kibaha. |
|
 |
| Naibu
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.)
(katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jose Antonio Fraga
Castro (kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya LABIOFAM ya Cuba na Mhe.
Jorge Luis Lopez Tormo (wa kwanza kulia), Balozi wa Cuba hapa nchini na
wajumbe wengine waliofuatana nao kutoka Cuba . Kushoto ni Bi. Upendo
Mwasha, Afisa Mambo ya Nje. |
|
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Wednesday, December 12, 2012
Post a Comment